Mathayo-Alikufa kwa kuuwawa kwa upanga mbali
kidogo na mji wa Ethopia.
Marko - Alikufa kule Alexandria baada ya kukokotwa
kikatili kwenye barabara ya mji.
Luka - Alitundikwa juu ya mti wa mizeituni
katika nchi ya Kigiriki ya kimaendeleo.
Yohana - Alitiwa kwenye pipa la mafuta
yanayochemka lakini hakufa kwa njia ya miujiza na baadaye akapelekwa kwenye Kisiwa cha Patimo ili afe hata
hivyo hakufa huko. Alikufa huko Efeso miaka 100 BK.
Petro – Alisulubiwa kule Rumi kichwa chini miguu
juu mwaka 67 BK.
Yakobo Zebedayo – Alikatwa kichwa kule Yerusalemu mwaka 44
BK, Mdo 12:1-2.
Yakobo wa Alifayo – Alitupwa kutoka kwenywe kinara na kisha
kupigwa na rungu lenye misumari mpaka kufa, mwaka 62 BK.
Batholomayo – Alichunwa ngozi akiwa hai mpaka akafa.
Andrea – Alifungwa kwenye msalaba huku akiendelea
kuwahubiria wale watesi wake
mpaka kufa.
Thomaso – Alishindiliwa mkuki ndani ya mwili kule
Klemandel nchi ya India ya mashariki.
Yuda Thadayo – Alipigwa kwa mkuki mpaka akafa.
Barnaba wa Mataifa – Alipigwa kwa mawe kule Thesolonike.
Mathayo – Kwanza alipigwa kwa muda mrefu na baadaye
akakatwa kichwa.
Paulo – Aliteswa kwa muda mrefu na baadaye kukatwa
kichwa kule Rumi na Mfalme Nero mwaka 67 BK.
Historia hii ya vifo vya Mitume aliiandika Dk. Mulu Bale wa Ikizu store – Kororogwa Kibaha. Aliinukuu kwenye kitabu kinachoitwa NIGHTSMATER BOOK OF ILLUSTRATIONS.
ubarikiwe
JibuFutaAsante san
JibuFutaAsante sana kwa kutafuta taarifa hii inayohusu vifo vya mitume.
JibuFutaMbona hawakuweka myaka walio kufa
JibuFutaYesu akubariki mtumishi
JibuFutaAmen
JibuFuta