Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Miujiza ya watu kuanguka chini

MIUJIZA YA WATU KUANGUKA CHINI.

BAADA YA KUOKOKA,TAFUTA UTAKATIFU   YOHANA 17:17 & WAEBRANIA 12:14 MIUJIZA YA WATU KUANGUKA CHINI ASKOFU MKUU WA KANISA  LA FULL GOSPEL BIBLE FELLOWSHIP (F.G.B.F) TANZANIA. MHUBIRI WA KIMATAIFA, ASKOFU ZACHARY KAKOBE. Tovuti        :  WWW .bishopzacharykakobe.org Facebook  : WWW .facebook.com/bishopkakobeministries Youtube   :  WWW .youtube.com/user/bishopkakobe SOMO :   MIUJIZA YA WATU KUANGUKA CHINI              Katika miaka ya hivi karibuni, kumezuka wimbi kubwa la miujiza ya “watu kuanguka chini”. Wimbi hili limezagaa sehemu nyingi duniani na hivi sasa, nchi yetu Tanzania imekubwa tayari na wimbi la “miujiza hii. Watu hawa wanaojiita watumishi wa Mungu, watasema kwa kiingereza,  “RELEASE THE POWER OF GOD”  wakimaanisha  “NAFUNGULIA AU NAACHIA NGUVU YA MUNGU” , na baada ya kurusha mikono yao, au kupuliza hewa kwa ...