Mathayo - Alikufa kwa kuuwawa kwa upanga mbali kidogo na mji wa Ethopia. Marko - Alikufa kule Alexandria baada ya kukokotwa kikatili kwenye barabara ya mji. Luka - Alitundikwa juu ya mti wa mizeituni katika nchi ya Kigiriki ya kimaendeleo. Yohana - Alitiwa kwenye pipa la mafuta yanayochemka lakini hakufa kwa njia ya miujiza na baadaye akapelekwa kwenye Kisiwa cha Patimo ili afe hata hivyo hakufa huko. Alikufa huko Efeso miaka 100 BK. Petro – Alisulubiwa kule Rumi kichwa chini miguu juu mwaka 67 BK. Yakobo Zebedayo – Alikatwa kichwa kule Yerusalemu mwaka 44 BK, Mdo 12:1-2. Yakobo wa Alifayo – Alitupwa kutoka kwenywe kinara na kisha kupigwa na rungu lenye misumari mpaka kufa, mwaka 62 BK. Batholomayo – Alichunwa ngozi akiwa hai mpaka akafa. Andrea – Alifungwa kwenye msalaba huku akiendelea kuwahubiria w...
Kumjua Mungu kupitia maandiko matakatifu